12 thoughts on “Breaking News: Jukwaa la Wahariri Watoa Tamko Kali Juu ya Kufungiwa Gazeti la Mawio

  1. ASANTE KWA KUTETEA GAZETI LA MAWIO MAANA NDO GAZETI PEKEE TULILOKUWA TUNALITEGEMEA ,WAPENDA HAKI TUNASEMA GAZETI LIRUDI KAMA KAWA

  2. sijui jukwaa la wahariri au la tundlisu nashangaa umegeuka mahakama gafra. unazani mhariri huwa mkosoaji wa selikali au kila kitu ni siasa!!!!!!…

  3. sasa ndo hivyo kila kitu kiko Kwa mujibu Wa sheria msitegemee kila kitu mjiachie tuu.msije tuletea vita hapa

  4. Wahariri mshaingia kwenye siasa,, kila siku mitandaoni au taarifa zimewaishia. Sasa kama mnaona mmeonewa nendeni mahakamani sio kila siku kwenye mitandao..

  5. hii nchi inaongozwa kidikteta kila mtu akisema ukweli wao kwao tatizo vyombo vya habari vinafungiwa watu wanapotezwa daaaaaah mungu anawaona

  6. tokeni huko mnajifanya mmesoma mmeelewa nyuma ya pazia mafisadi wanawasapoti kwa ajili ya interest zao,ilo sio jukwaa la wahalili jukwaa la chadema,wanasheria wa chadema mmepoteza uzalendo kisa elimu yenu isiyo jenga ila kuleta uhasama.mnyang”anywe vyeti hamstahili.hasa sijaona mkiunga mkono lolote.unyang”anywe cheti urudi bukoba.kuliko uwepo hapo mjini hafu mhalilli ambaye unatupotosha.waacheni maraisi wapumzike.raisi bushi wa kwanza na wa pili wote walifanya uhalifu wa kivita na kampuni ambazo walikuwa wana hisa zilihusika k kwenye uizi wa mafuta wa mafuta iraq.wamebainika ila wanakinga ya uraisi ipo huuko kwnye mfano wa democracy,nyie mnajifanya mnajua democracy wapi nyie wajamaa wenye arufu ya ujamaa kbsa acheni hizo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *