BREAKING NEWS: Hivi Ndivyo Nyumba Zaidi ya 200 Zilivyobomolewa Buguruni, Dar

Wakazi wa maeneo ya Buguruni na maeneo mengine wilayani Ilala, waliojenganyumba zao pembezoni mwa reli ya kati (TRL), leo wameionja joto ya jiwe baada ya nyumba zilizokuwa ndani ya umbali wa mita 30 kutoka kwenye reli, zipatazo 200 kuanza kubomolewa kwa amri ya serikali.
Global Tv Online ilifika eneo la tukio na kushuhudia jinsi nyumba hizo zilivyokuwa zikibomolewa, huku wananchi wengi waliokumbwa na patashika hiyo, wakiililia serikali yao, kwani hawakupewa hata muda wa kuhamisha chochote kutoka kwenye nyumba zao.
Jeshi la polisi lilikuwepo eneo la tukio ambapo askari waliojihami kwa bunduki na mabomu ya kutoa machozi, walikuwa wakirandaranda huku na kule, kuhakikisha hakuna anayejitokeza kupinga zoezi hilo.
Tazama video kuona jinsi bomoabomoa hiyo ilivyokuwa.
BOMOABOMOA| BUGURUNI| ILALA| NYUMBA 200 ZABOMOLEWA| RAIS MAGUFULI| Wakazi wa maeneo ya Buguruni na maeneo mengine wilayani Ilala, waliojenganyumba zao pembezoni mwa reli ya kati (TRL), leo wameionja joto ya jiwe baada ya nyumba zilizokuwa ndani ya umbali wa mita 30 kutoka kwenye reli, zipatazo 200 kuanza kubomolewa kwa amri ya serikali.

BOMOABOMOA| BUGURUNI| ILALA| NYUMBA 200 ZABOMOLEWA| RAIS MAGUFULI|

7 thoughts on “BREAKING NEWS: Hivi Ndivyo Nyumba Zaidi ya 200 Zilivyobomolewa Buguruni, Dar

  1. Hiyo ni njia ya reli na popote inapopita reli basi makazi yanatakiwa yawe mita 30 kuanzia pâle reli ilipo na maeneo hayo hasa Hapa dar Kuna beacon kabisa zinazoonesha kuwa ni sehem ya reli ila ka ilivyo Kawaida watz tumezoea kujiongezea kanafasi tukidhan HAKuna KITACHOTOKEA.. si kama nyumba yako imezid au kuivuka beacon watakuvunjia had mwisho wa beacon Yao tu n'a si vinginevyo ndo mana hata bakhresa hapo ukuta wake ndo umezidi

  2. Hii inauma sana ila kwakuwa wanaokifanya hiki kitu familia zao zipo na zimetulia hazina shida ndiomana wanafanya tu bila huruma ila hii sio nzur kbs

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *